Picha: Serengeti Fiesta 2014 Shinyanga ni shidaa, Tazama picha hapa

Show ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika Ijumaa kwenye uwanja wa Kambarage imefana baada ya wakazi wa mji huo kupokea shangwe za burudani kutoka kwa wasanii kibao wa muziki.





Wasanii waliotumbuiza kwenye show hiyo iliyoanza saa nne za usiku ni pamoja na Nay wa Mitego, Ommy Dimpoz, Recho, Linah, Fid Q, Stamina, Young Killer, Khadija Maumivu, Mr Blue pamoja na Chege na Temba.





Katika hatua nyingine usiku huo ulikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Ommy Dimpoz hali ambayo ilimfanya afanye show huku akiwa na mzuka wa hali ya juu.


Barakah Da Prince akiimba na wakazi wa Shinyanga








Barakah Da Prince akiimba na wakazi wa Shinyanga
 Barakah Da Prince akiimba na wakazi wa Shinyanga
















Linah akipanda juu ya jukwaa

 Ney wa Mitego na Sta
  Ommy Dimpoz

 Ommy Dimpoz

Temba na Chege


Picha:Bongo5
Previous Post Next Post