Picha: Jokate afanya video yake mpya, amtumia mkenya Nick Mutuma

Mwezi uliopita Jokate Mwegelo alifunga safari hadi jijini Nairobi, Kenya alikoenda kikazi. Japo hakusema alienda kufanya kazi gani, picha za Instagram zinaonesha kuwa alienda kushoot video ya wimbo wake.


Jokate na Nick Mutuma

Kwenye picha hizo, Jokate anaonekana akiwa na mtangazaji wa TV na muigizaji wa MTV Shuga, Nick Mutuma.

Tazama picha hapa.


Previous Post Next Post