Picha: Izzo Business katika shooting ya Walala Hoi

Izzo Business yuko katika kufanya video yake ya wimbo wake mpya wa wlala hoi , kaa tayari wewe mdauk kupokea video ya Izzo, video imefanywa na Director Nick Dizzo
Hizi ni baadhi ya picha katika uandaaji wavideo hiyo ya walala Hoi....


 



Previous Post Next Post

Popular Items