Steve RnB baada ya tour ndefu za nje ya nchi , mwimbaji wa RnB Tanzania, leo tarehe 18 ya mwezi wa 9, 2014, ameachia single yake mpya inayoitwa ‘Pole Pole’ ambayo iko kwenye maazi ya Reggae (Tropical Riddim).
Isikilize na kuipakuwa hapa...
Isikilize na kuipakuwa hapa...