Music: Mabaga Fresh Ft Jebby – Msimpe Pombe

Chukua muda wako kusikiliza ngoma kutoka kwa wasanii wakongwe wanaokwenda kwa jina la Mabga Fresh , wameachia ngoma baada ya ukimya wa muda mrefu wamkuja na ngoma yao mpya inaoitwa 'Msimpe Pombe' waliyomshirikisha Jebby sikiliza na kuipakua hapa.


Previous Post Next Post