Diamond Platnumz afunguka na kutoa siri ya mafanikio yake 'Asikudanganje mtu eti ni kipaji tu, ndio utatoka Hapana!...'

Wengi wanasema kupata mafanikio katika kitu unachokifanya inahitaji uvumilivu wa khali ya juu, Diamond Platnumz yuko katika kilele cha mafanikio ambayo yamekuwa yakiongelewa na watu wengi na hata kutojua Diamond alipitia njia gani mpaka kufika hapa alipo leo.


Kupitia ukurasa wake wa Instagraa Diamond ameamua kufunguka kidogo juu ya siri ya Mafanikio yake 

Kupitia instagram Diamond Paltnumz aliandika...

Asikudanganje mtu eti ni kipaji tu, Hapana! ni juhudi, Heshima na kumtanguliza mwenyezi mungu mbele.... kumbuka hata mimi kabla ya mwaka 2009 nilisha toa zaidi ya Nyimbo 8, lakini zoke zikafeli... ila sikuzote nilijikaza na kujifunza kupitia makosa na hadi leo kufikia Hapa... #USICHOKE #Kwani_Ye_Aliwezaje
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA