Amber Rose afunguka na Kusema kuwa awezi kumsaliti mumewe 'Wiz Khalifa' miaka mia ila..

Hii imetokea baada ya Amber Rose kudai talaka kwa mumewe na baby dady wake Wiz Khalifa, sababu ambazo zimekuwa zikitajwa kuwa chanzo ni kuwa wawili hao walisalitiana na kupelekea ndoa yao iliyodumu kwa mwaka mmoja kufika ukingoni.




Kupitia moja ya Mitandao ya kijamii Amber Rose ameamua kuweka mambo kwa kutoa ya moyoni kuwa awezi kumsaliti mume wake miaka 100 na hilo wanalijua

Hivi ndivyo alivyoandika Amber Rose..




Previous Post Next Post