Picha/Video: Mr Blue afanya video ya Pesa kutoka soon, utapata kumuona Alikiba, Chid Benz na Chegge

 Habari njema ni kwamba wale mashabiki wa Mr Blue waiubiri video mpya ya Mr Blue 'Pesa'  Kabayser tayari ameshoot video ya wimbo huo uliokaa kwenye chart kwa kipindi kirefu.



Video ya ‘Pesa’ imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level na kwa mujibu wa picha za Behind The Scenes, baadhi ya mastaa wa muziki kama Alikiba, Chidi Benz, Chege na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa Julio wanaweza kuonekana kwenye kichupa hicho.

Kupitia Instagram Adam Juma ameshare teaser ya video hiyo na kuandika:
“My job has nothing to with camera’s its ART. I paint what i see”.

Katika moja ya post za picha za BTS Kabayser ameandika:“Hakuna kitu kizuri km kuishi na watu wote vizuri ..#pesavdeo#”





tazama teaser ya video hiyo hapa

Previous Post Next Post