Picha: Huyu ndiye mpenzi wa Proffessa Jay ‘Mama Lisa’

Kutana na kipenzi cha roho cha Proffesa Jay, Black Rhyno amewahi kuoa kumzidi kaka yake Professor J lakini hiyo haimaanishi kuwa Mchawi huyo wa Rhymes hana mke mtarajiwa.

Kupitia Instagram, Professor J amemweka wazi mwanamke anayeweza kushika wadhifa wa Mrs Joseph Haule.

“OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. …. What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE,” ameandika Professor kwenye picha hiyo juu.
Previous Post Next Post