Picha: Tajiri wa Saudi atikisa London na Range Rover ya dhahabu

Katika maandiko ‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou ThÄ“riou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo zinazosomeka kama plate number ya gari yake ya kifahari aina ya Range Rover.


Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, Uingereza kuishangaa baada ya kuiona ikiwa na mtalii huyo akila mitaa ya London kwakuwa ni gari ya dhahabu!!


Gari hiyo ina thamani ya £150,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za Tanzania. Range Rover mpya na ya kawaida huuzwa kwa bei ya wala u £100,000.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA