Picha: Rihanna aitazama gemu ya Basketball wakati Criss Brown akifanya yake, Rihanna alinuna , mcheki hapa

Wapenzi wa zamani ambao wamekuwa wakijaribu kukwepana kwa muda mrefu huku huenda mioyoni mwao bado wanahitajiana Chris Brown na Rihanna, Alhamisi hii (August 21) walikutana (bila kupanga) kwenye mechi ya mpira wa kikapu ‘2014 Summer Classic Charity Basketball’ huko New York.

Tazama picha hapa..










Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa