Picha: Davido anunua private Jet!

Baada ya Ushindi wa Tuzo za BET na zinginezo kupitia ngoma yake ya ‘Ayee’ Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa muziki unamlipa kwa kiasi kikubwa na  kumuwezesha kumiliki private Jet yake,mbali na kuwa mtoto wa bilionea Nigeria.

Kama wewe unamfollow Davido kwenye Instagram yake bila shaka utakuwa shahidi kuwa ‘Skelewu’ hit maker anapiga show nyingi sana sababu post zake nyingi huwa ni kuhusu safari za show.


Katika weekend iliyopita alipost picha akiwa kwenye private Jet hiyo kabla ya safari ya kuelekea Togo kwenye show nyingine




Previous Post Next Post