Picha: Amber Rose na Wiz Khalifa waadhimisha mwaka 1 wa ndoa, hizi ndizo picha walizoshare

Ni mwaka mmoja sasa toka rapper Wiz Khalifa na Amber Rose wafunge ndoa na kuwa kitu kimoja.Amber na mumewe tayari wana mtoto mmoja aitwaye Sebastian “The Bash” Taylor Thomas



Jana (Agosti 18) Amber Rose alishare picha za harusi yao ambazo hawakuwahi kuzitoa, na kumuandikia ujumbe mume wake katika maadhimisho yao ya mwaka 1 wa ndoa:



“Today was the day we said our vows before God and our Family. I knew as soon as I met u, u were the one for me sweetheart. Happy 1 year anniversary @mistercap and many more to come [heart emoji]”


Whiz Khalifa naye alimjibu kwa kuandika, “Happy Anniversary beautiful.”


Pia Amber Rose alishare picha nzuri akiwa na mama yake mzazi
Previous Post Next Post