H - Baba alia na Waandaji wa Tuzo za Kill Music awards, awaomba kumpatia hayati James Dandu tuzo ya Heshima.

Kupiti ukurasa wake wa instagram mwanamuziki H-baba amewaomba waandaji wa tuzo za Kill music Awards kumkumbuka Hayati James Dandu kama muanzilishi wa Tuzo hizo na kumpatia tuzo ya heshima kwani Hayati James Dandu alisaidia mziki wa bongo kufika hapa ulipo



H-baba kupitia aliandika

Enzi za uhai wake #Cool James dandu Nimuasisi wa tuzo za kill music awards. Ambazo zinafanya vyema sana Tanzania . Ushauri Wangu kwa kill music awards kwenye zile tuzo za heshima wangemkumbuka na muasisi wa tuzo hizo #Cool James #dandu kama wanavyopewa wengine tuzo iyo yaeshima . Iliitangaza Tanzania nje ya Tz kwa kazi zake nzuri sana alifanya #Remix ya #SINA MAKOSA aliimba na Magwiji wa muziki barani Africa #marehemu #Madiluu name #koffi ollomide nawengine kibao alifungua mapazia kwa wasanii wa Tanzania nje ya nchi kusikika mpaka Leo kazi zetu zinapeta nje ya Tanzania #upumzike kwa amani #cool James #DANDU. @Tanzaniteone@florahmvungi @fadhaget
Previous Post Next Post