Floyd Mayweather huogeshwa na msichana tofauti na mpenzi wake Doralie Bad Medina

Bondia Floyd Mayweather ambaye anadaiwa kutumia pesa nyingi sana kwa maisha ya anasa ameweka wazi maisha yake ya ndani na kuonesha jinsi anavyohudumiwa bafuni kwa kuoshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake.



Floyd amepost picha na ujumbe Instagram akiogeshwa bafuni na mrembo mmoja na kueleza kuwa hivyo ndivyo huianz siku daima.



“This is how I get my day started everyday –MR MY LIFE IS THE SH*T..”


mpenzi wa Maywether, Bad Medina ni wa kipekee, kumruhusu msichana mwingine awe anakaa bafuni na mpenzi wake tena akimuosha.
Previous Post Next Post