Behind The Scenes : Tazama utengenezaji wa video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’

Katika weekend iliyopita rapper wa Young Money, Nicki Minaj alishoot video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ itakayopatikana kwenye album yake mpya ‘The Pink Print’. Kabla video kutoka Nicki amewaonjesha mashabiki kuona kilichojiri wakati wa utengenezaji wa video hiyo (behind the scenes ).


Previous Post Next Post