Ujumbe wa Wema Sepetu kwa Diamond Platnumz baada ya kushinda AFRIMAMA

Baada ya Kipenzi cha Moyo wake Diamond Platnumz kushinda tuzo za AFRIMAMA, Mwanadada Wema Sepetu ameshare hisia zake kwa jinsi anavyojisikia baada ya Diamond kushinda tuzo mbl za AFRIMAMA Jull 27 Mwanadada na mmliki wa Endless Fame Film Wema Sepetu alipost ujumbe wake kupitia mtandao wa Instagrama na kuandika jinsi anavyojisikia baada ya Platnumz kupata Tuzo hizo mbili za AFRIMAMA





😍😍😍Roho yangu, Kipenzi changu... Words cant even express how happy Iam ryt now... To me you are always a Winner with or without the Award... But since you got it, it makes me even happier... You did Tanzania Justice by bringing those two awards home and all I wanna say is keep aiming higher because YOU are what defines a hard worker... Mwaka huu tayari umeweka mziki wa Bongo flava kwenye ramani... wenyewe wanasema mwanzo mgumu, na kwa upeo wangu mdogo tu nadhani umefaulu tena umefaulu with flying colours... I will always stand by you and make sure you get to where you want to get... Like I always say Iam very proud of you Chibu wangu... Mungu azidi kukubariki baba angu...😍😍😍 Nakupenda sana....
Previous Post Next Post

Popular Items