Picha: Terrence J, David Banner, Chaka Zulu watembelea hifadhi za Taifa

Wale Wadau wa muziki kutoka Nchini Marekani Terrence J, David Banner na Chaka Zulu baada ya kumaliza kutoa semina kwa wasanii wa Tanzania, wameanza kutembelea hifadhi za taifa ili kujionea mambo mbalimbali kutoka kwenye hifadhi hizo.



David Banner na Chaka Zulu wakiwa kwenye gari la safari


 Tazama picha zaidi hapa....



Previous Post Next Post