Picha: Hivi ndiyo Selena Gomez alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ufukweni

Muimbaji na muigizaji wa kike, Selena Gomez alisherehekea siku yake ya kuzaliwa (July 22) akiwa anatimiza umri wa miaka 22

Mrembo huyo alichagua ufukweni kama sehemu rasmi ya kusherehekea siku hiyo huku akionekana ndani ya yacht na marafiki zake akiwemo mwanamitindo Cara Delevingne.



Previous Post Next Post

Popular Items