Picha: Behind The Scene ya utengezaji wa video mpya ya Barnaba 'Wahalade'

Mwimbaji Barnaba boy hivi karibuni  ameachia wimbo mpya uitwao ‘Wahalade’, na tayari amemaliza kushoot video yake ambayo ndani ataonekana mama wa mwanaye Mama Steve. Video ya wimbo huo imeongozwa na director Nick Dizzo wa Focus Film. Tazama baadhi ya picha za wakati wa utengenezwaji wa video hiyo.



Tazama picha hapa...











Previous Post Next Post