Picha: 50 Cent amchana Floyd Mayweather ‘Nelly kakuchukulia mpenzi wako’ fanya umrudishe haraka

Rapper 50 Cent ameendelea kumtupia maneno ya shombo aliyekuwa rafiki yake, Floyd Mayweather kwa kumwambia kuwa demu wake ni kweli amechukuliwa na rapper Nelly.



Mwimbaji Nelly na Shantel


50 na Floyd walikuwa marafiki wa karibu lakini walikosana na sasa wamekuwa wakitupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii. Ilianza baada ya 50 kupost picha ya mpenzi wa zamani wa Floyd, Shantel Jackson na kuandika: “CHAMP I ain’t gonna lie this motherf**ker bad. You need to start operation GET THE B*TCH BACK. Right now!!!”

Kisha aliweka picha nyingi Miss Jackson akiwa na Nelly na kuandika: “Nelly put this up @floydmayweather DAMN da n**ga really took your lady Champ.”

Hadi sasa Mayweather hajajibu kitu.

Tazama  picha zingine za Nelly na Shantel.





Previous Post Next Post