Mwanadada Nick Minaj baada ya kuwatamanisha mashabiki duniani kwa picha ya utata ya single yake mpya ‘Anaconda’, Nicki Minaj amesogeza mbele uzinduzi wa single hiyo.
Badala ya kutoka leo, single hiyo sasa itatoka August 4. Akitumia picha nyingine ya utata ambayo tofauti na mwanzo hii amesimama, Minaj ameandika kwenye Instagram: My darlingz, I’ve pushed the release of Anaconda to next week, Monday 8/4. I promise you will understand why before the week is out. Loveeeeeeee uuuuuu.”
Kwenye picha hiyo pia amevaa nguo zilezile za kwenye picha ya awali iliyopigiwa kelele na watu wengi kuwa haifai.