Music: WizKid - Show You The Money

Huu hapa wimbo mya kutoka kwa WizKid n baada ya kutimiza miaka 24 akatoa zawadi hii kwa mashabiki wake ngoma inaitwa  'Show You The Money'  wimbo huu umeadnaliwa na producer aliyefanya ngoma ya Davido Skelewu. Sikliza wimbo huu na kuudownload hapa.


Previous Post Next Post