Hakua kitu kizuri kweney mapenzi kuwa Huru na kila mtu akaujua mnadate, Yale mapenzi ya kuijfichaficha huwachukiza watu wengi ila kama mkiwa mnadate na mkawa huru kla mtu atayapenda mapenzi yenu hii kitu yuko nayo mwanadada Loveness Diva ,Advantage kubwa mwanaume anaweza kupata akidate na Loveness Diva ni shout outs za kutosha mbele ya followers wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa Clouds FM aliyewahi kumwagiwa jumbe za mahaba kuwazidi hata Prezzo na Mr Anonymous aka mwanasiasa! Katika muendelezo wake wa kuutangazaji ulimwengu jinsi anavyojisikia kuwa ‘first lady’ wa mkuu huyo wa ECT, Diva ameshare picha yake Instagram na kuandika:
“Umependeza Mwaya My love…..everyday in my life is Perfect because it starts and ends with hugs and kisses to the man i love more than anything else. My main…my main man. Just love you…just the way ulivyo. Holding your hands cuddling in your arms….Precious moments…hours, days;months and finally A year….love you babe..forever eternally. Yo the most romantic …yo the most Perfect husband taken by me..i love you baby and kazi Njema Inshaallah Mshahara wako unipe nikuwekee…..hehee. Yo The most Perfect Man i could ever have had …i love you My Gk emojiemojiemojiemoji.”