Diamond Platnumz awashukuru Facebook kwa hili

Ni baada ya Twitter kuiverify akaunti ya Diamond Platnumz, Facebook nao wemefanya hivyo, wameiverify account ya Diamond Paltnumz,


na kwa Sasa Diamond ameungana na Flaviana Matata na Salim Kikeke miongoni mwa Watanzania wenye akaunti halali za Facebook.



Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia