Picha: Mcheki Lovnec Diva wa Clouds Fm akipigwa Romance, na kusema....

Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo;


Previous Post Next Post