Wakati Kanye West na Kim Kardashian wakifurahia fungate lao, The Carters wameendelea kuwa karibu zaidi baada ya familia yao kukumbwa na migogoro. Kupitia website yake, Beyonce ameshare picha za familia yake, zikiwemo za mwanae Blue na mumewe Jay Z. Zitazame.
Bey na mwanae, Blue
Blue Ivy
![]() |
Beyonce |
Bey na mwanae, Blue
![]() |
Bey na mwanae, Blue |
Blue Ivy
![]() |
Jay Z na kipikipiki chake |