Picha: Huyu ndiye binti mrembo wa Rais Kagame anaitwa Ange Kagame

Anaitwa Ange Kagame, ni mtoto wa pili na wakike pekee wa Rais wa 6 wa Rwanda Paul Kagame, mama yake anaitwa Jeannette Nyiramongi na ndiye first lady wa Rwanda.

Ange hajalelewa nchini Rwanda, ameishi maisha yake yote nje ya nchi. Wanafunzi waliosoma naye wanasema binti huyu anajituma sana kwenye masomo na kusaidia watu na muda mwingi hutumia kufuatilia mambo yanayoendelea nyumbani kwao Rwanda.



Kwa sasa Ange amerudi Rwanda na anafanya kazi nyingi za kujitolea kwa jamii kama kuoanda miti, kampeni za kupiga vita magonjwa nguli Rwanda na kuendesha makundi ya kukomboa wanawake kutoka kwenye umasikini.

Tazama picha hizi hapa..!




Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA