Hongqi L5 limousine ndio inasemekana kuwa ‘China’s most expensive car’, ambayo gari ya kwanza ya toleo hilo imeuzwa kwa Yuan milioni 5 ambayo ni sawa na dola laki nane za Marekani sawa na shilingi bilioni moja na milioni mia tatu+ (1,300,600,000).