Picha: Behind The Scene video mpya ya Nas Tatu - Niweje

Nas Tatu msanii mkali anayekuja kwa kasi sana kwenye tasnia ya bongo hip hop, wiki ile iliyoisha alikuwa akishoot video yake mpya aliyoifanya na Izzo B pamoja na Dev Zinda msanii kutoka THT. 


Wimbo unaitwa NIWEJE na video imefanywa na Dir Nick Dizzo na naambiwa ndani ya hii video yupo dada wa tumbo moja wa msanii Diamond anaitwa ESMA kama unavyomwona picha hiyo ya juu akiwa na Nas 3, dada huyu yeye kacheza kama video queen na mbwembwe zake mtakuja kuziona soon video ikitoka.


Tazama picha hizi hapa chini...





 





Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA