Mjomba wa Snoop Dogg afariki kwa ugonjwa wa Cancer

Rapper Snoop Dogg amepata pigo la kufiwa na mjomba wake mpendwa aitwae June Bug aliyepoteza maisha kutokana na saratani iliyomsumbua kwa muda mrefu (colon cancer), March 30.



June Bug alikuwa mtu wa karibu wa Snoop Dogg mbali na kuwa mjomba wake ambapo alikuwa akipanda nae jukwaani katika baadhi ya show za Snoop Dogg na kuwapigisha shangwe mashabiki.

“Lov u unc!! C u when I get there!!! R.I.P junebug!!” Snoop Dogg alitweet.
Previous Post Next Post