Mashine za kuuzia Bangi zazinduliwa rasmi huko Marekani, ni katika Jimbo la Colorado,

Mara baada ya Marekani kuhalalisha matumizi ya bangi katika baadhi ya majimbo kama Colorado ambapo sasa ni ruksa kununua na kutumia kwa matumizi binafsi na ya kitabibu (mediacl marijuana), sasa huduma hiyo inapatikana katika mashine maalum huko Colorado.




 Mashine za kuuza bangi Marekani

Mashine hizo zinapatikana kwa dispensary zilizosajiliwa na zenye leseni kwaajili ya kuuza marijuana kwa ajili ya matibabu, ambapo sasa watumiaji wanauwezo wa kununua muda wowote moja kwa moja kwenye mashine hizo tofauti na mwanzo ambapo iliwabidi kupanga foleni kaunta.


Akizungumza katika uzinduzi wa mashine hizo CEO wa kampuni iliyozitengeneza Mr Stephen Shearin amesema, Ili mtumiaji aweze kununua bangi katika mashine hizo atahitajika ku swipe kadi yake ya kitambulisho ili mashine iweze kumtambua kama ndiye mmiliki wa kitambulisho hicho kupitia kamera zilizofungwa.

“Swipe ID and get verified. Select products and pay. Retrieve products and depart using appropriate bagging solution.” Alisema.


Aliongeza sababu za udhitibiti wa mashine hizo, “I’m a father of a 12-year-old daughter and I wouldn’t want her having access to it, so we paid close attention to that.”

Source – Daily Mail
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA