Bondia wa Argentina, Marcos Maidana amesema anajiamini kuwa Floyd Mayweather.
Floyd ‘Money’ Mayweather akijifua
‘Mimi ni bingwa na niko tayari kupigania mkanda wangu,’ alisema Maidana. ‘La msingi zaidi, najianda kumtwanga Mayweather. Kitu ninachohofia zaidi ni mkanda wangu. Nataka kujinoa tu ili Mayweather.’ Marcos Maidana
Bondia hiyo amesema ushindi wake dhidi ya Mayweather kwenye pambano litakalofanyika Jumamosi ya May 3 jijini Las Vegas, Marekani utakuwa gumzo kwenye historia ya masumbwi.
Tags:
Sports