Jack Patrick kuonekana katika video ya Jux 'Nitasubiri'

We have seen her kwenye video ya the late Ngwair, “she gotta gwan” , akauza kwenye ” nataka kulewa ” ya Diamond then akatokea kwenye video ya linex – kimugina. Taarifa kutoka vibe zinasema Mrembo Jack Patrick anategemewa kutokea kwenye video mpya ya Jux. Hivi sasa jux anahit na nyimbo yake ya nitasubiri na ndiyo nyimbo atakayoonekana Jack Patrick.



“Jux ameenda China kushoot video ya ‘ nitasubiri’ , director wa video ni rafiki yao na kwa bahati nzuri wakati jacky alipokua uraiani walikua wakirekodi……” kilisema chanzo kimoja.
Previous Post Next Post