Hiki ndicho kitu kingine kinachofuata kutoka kwa Cyril Kamikaze ' Alowa'

Rapper wa kundi la Wakacha, Cyril Kamikaze anatarajia kuachia single yake mpya iitwayo ‘Alowa’. Katika kunogesha ujio wake mpya, rapper huyo mwenye asili ya Singida ametease picha ya kava ya single hiyo yenye utata.



Katika picha hiyo, Cyril anaonekana akiwa amelala katika ya miguu ya msichana mwenye assets kubwa kama za Masogange.
Previous Post Next Post