Big Sean asitisha kumuoa Mchumba wake Naya Rivera, kisa ni wivu uliozidi

Rapper Big Sean kutoka Good Music na mchumba wake Naya Rivera wameachana na kuahirisha nia yao ya kufunga ndoa baada ya kuchumbiana October mwaka jana.

Kwa mujibu wa HollywoodLife.com, Big Sean alikuwa anampenda sana Naya lakini alishindwa kumvumilia kwakuwa na wivu uliozidi na tabia ya kumtawala.




 Big Sean alitangaza jana kusitisha uchumba na mrembo huyo huku kukiwa na madai kuwa rapper huyo alimcheat Naya kwa kutembea tena na mpenzi wake wa zamani.



Msemaji wa Big Sean ametoa maelezo yasemayo:

After careful thought and much consideration, Sean has made the difficult decision to call the wedding off. The recent rumors and accusations reported by so-called or fake sources are simply untrue. Sean wishes Naya nothing but the best and it is still his hope that they can continue to work through their issues privately. We will not be commenting again on this matter.”
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa