Timbulo Ft Rich Mavoko – Niende Zangu

Timbulo alisema alipokuwa anahojiwa alisema “Natoa wimbo na shabiki atakavyo upokea atakubali kuwa Timbulo anakipaji au hana ila sio kulazinisha stori bila kazi bora” . Wimbo mpya wa Timbolu ndio collabo yake ya kwanza na msanii kutoka nyumbani, Timbulo Ft Rich Mavoko – Niende Zangu, Iko Hapa



Previous Post Next Post

Popular Items