Picha: Show ya Ommy Dimpoz Mascat Ilikuwa hivi

Ijumaa ya March 28 2014 mwimbaji wa bongofleva Ommy Dimpoz alifanya show akiwa na Liveband huko Muscat Oman baada ya kulipwa hela ndefu ili afanye hiyo kazi ya kuburudisha akiwa na timu yake.

Unaambiwa ni kwenye party ya kampuni moja ya mafuta ambayo ilisikia mapendekezo ya Wafanyakazi wake waliotaka Ommy Dimpoz kutoka Tanzania ndio awe msanii atakaewapa burudani kwenye siku hii maalum.












Previous Post Next Post