Watangazaji wa Clouds FM, katika kipindi cha Jahazi ,Gerald Hando, Ephraime Kibonde na wengine wamealikwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga kwenda kushuhudia mradi mpya wa kampuni hiyo, Clouds TV International jijini Abudhabi katika Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE.
Kibonde na Hando wakiwa na mtangazaji wa CNN Abu Dhabi |
Mtangazaji wa CNN aliyepiga picha na Kibonde na Hando Studio za kituo hicho kitakachokuwa kikionekana dunia nzima zipo kwenye jengo moja zilipo studio za kituo cha CNN tawi la Abu Dhabi. |
Kibonde, Kusaga na Hando
Source:Bongo5