Picha: Alichokifanya Director Nisher katika Chuna Buzi ya Shilole

Sasa ikiwa ni wiki mbili toka tushuhudie video ya pili kwa mwaka huu (2014) kutoka kwa director Nisher wa Arusha, ya wimbo wa msanii mpya Barakah Da Prince, Usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu (March 24) tutarajie video nyingine mpya ya wimbo wa Shilole ‘Chuna Buzi’.

Chuna Buzi itakuwa ni video ya pili ya Shishi baby kufanya na director Nisher baada ya Nakomaa na Jiji.



Kama ilivyo kawaida ya Nisher wiki hii amekuwa aki tease vipande vya video pamoja na picha za video hiyo ambayo ilifanyika jijini Dar es salaam.
Previous Post Next Post