Music: Godzilla Ft Marco Chali - You And I

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Godzilla, jina la wimbo ni You And I katika wimbo huu Godzilla amemshirikisha Producer Marco Chali,Ndio wimbo wa kwanza kutoka kwa Rapper Godzilla ndani ya mwaka 2014 usiohusika na nyimbo za Mixtape zake




Sikiliza na Download wimbo huu hapa chini...!


Previous Post Next Post