Picha: Show ya Ommy Dimpoz Kahama yaujaza ukumbi

Ommy Dimpoz kupitia kampuni yake ya Poz kwa Poz Entertainment ameendelea kujiimarisha kwa kuandaa show zake mwenyewe ambapo jana alitumbuiza wilayani Kahama, Shinyanga na kuujaza ukumbi wa Social.

































Ommy ameiambia Bongo5 kuwa kile anachokifanya sasa kinaweza kuwa changamoto kwa wasanii wengine nchini kuanza kujiandalia show zao wenyewe na sio kusubiri hadi wapigiwe simu na mapromoter. Leo atakuwa na show nyingine aliyoaindaa mjini Geita kwenye ukumbi wa Ambassador na anasindikizwa na mshindi wa EBSS, 2012, Walter Chilambo.

Hizi ni picha za show ya Kahama.





















































Creddit & Image :Bongo5 
Previous Post Next Post