Jaguar na Sella Mwangi ni wapenzi? Ukaribu wao umekuwa gumzo

Kuna tetesi nchini Kenya kuwa muimbaji wa ‘Kioo’ Charles Njagua Kanyi, aka Jaguar na rapper Stella Mwangi aka STL ni wapenzi.

Stella Mwangi

Kwa mujibu wa mtandao wa Nairobi News, wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja tangu STL arejee nchini Kenya kushiriki kipindi cha Twende Kazi cha Tusker. 

Jaguar 

Kwa mujibu wa chanzo kilichoongea na mtandao huo, Jaguar amemlipia mrembo hiyo tiketi ya ndege ya business class ya kurejea Norway.

Previous Post Next Post