Barcelona imefikisha magoli 100





wachezaji 15 tofauti wa timu hiyo wameshirikiana kufunga jumla ya hayo mabao huku,wachezaji 5 kati yao wakiwa tayari wameshafunga zaidi ya mabao 10.



Leo Messi 19, Pedro 16, Alexis 15, Cesc 12 and Neymar Jr 11.
Previous Post Next Post

Popular Items

Miss Ilala Vipaji Kumenyana Leo