Video: Jay Z Ampa Shavu Mtoto Wa Miaka 12 Kupanda On Stage; Baada Ya Mtoto Huyo....

Rapper gwiji katika rap game industry huko nchini Marekani, Sean Carter AKA Jay Z wakati akiwa katika moja ya Tour yake ya Magna Carter Holly Grail katika mji wa Greensboro, N.C January 5 … alipendezwa na tukio ambalo alilifanya shabiki wake mwenye umri wa miaka 12 tu katika kundi la watu waliokuwa wakimtazama rapper huyo akikamua on stage.


 Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 12 aliyejitambulisha kwa jina la Justin mara baada alipoitwa na Jay Z katika stage, alikuwa ameshikilia Bango kubwa lililoandikwa Can I Rap for You? akiwa katika kundi la mashabiki katika concert hiyo na ndipo rapper Jay Z alipomuona na kuamua kumuita mtoto Justin on stage na kisha kushare nae Mic.

Mtoto Justin akishika Mic aliyokabidhiwa na Rapper Jay Z

Tazama Vidoe Inayoonyesha Mtoto Justin Akirup mara tu alipokabiziwa mike na Jay Z




Previous Post Next Post

Popular Items