Steve Nyerere Ndiye Mwenyekiti Mpya wa Bongo Movie

Kundi la Bongo movie unity limepata uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti.  Steven Nyerere.


Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni"



Katibu mkuu:  William Mtitu

Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga



Mtunza hazina: Issa musa “cloud"

Msaidizi wake ni: Cathy rupia
Previous Post Next Post