Picha:Hivi ndivyo Diamond Plutnumz alivyoipagawisha Nairobi na watu wake

Chukua muda wako wa kutazamapicha hizi zinazoonyesha kile alichokifanya Msanii Diamond na Timu yake Nairobi tare 24/1/2014 nchini kenya, hakika Diamond Plutnumz ni msanii anayeipeperusha bendera ya Tanzania vizuri sana kwa kile alichokifanya Nairobi ni cha kusimulia na mfano mzuri wa kuigwa.

Kwa kutazama picha hizi hapa chini utaelewa Diamond Plutnumz amefanya nini Nchini kenya katika jiji la "Nairobi"

Diamond alialikwa na kampuni ya safaricom ya  mjini nairobi kwenda kutoa burudani katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya safaricom ya kenya

Diamond na crew yake walitoa burudani kali kwa  wale waliobaatika kufika bila shaka hawataweza kupingana na mimi kwa hili kani shoo hiyo ilifanyika katika ukumbi wa 'Safari calnivore,Nairobi.' 

N a hizi ndizo picha za wasafi Crew wakiongozwa na President wao Diamond Plutnumz wakitoa performance ndani ya ukumbi wa Safari calnivore,Nairobi ..










































Previous Post Next Post