New Music: Amin - November or December

Chukua muda wako wa dakika chache kuusikiliza wimbo mpya kutoka kwa amin wa THT, Wimbo unaitwa 'November or December ' ambao umefantika katika studio za kil records chini ya producer C9 Kanjenje Sikiliza Hapa Chini..

Kumbuka Maoni yako ndiyo yatachangia sanaa ya Tanzania ibadilike na kufanya vitu vipya, Toa maoni kwa kutumia account yako ya faebook




Previous Post Next Post