Music: Dr Jose Chameleone ft Davido - All di Girls

Dr Jose Chameleone finally delivers the promise…Ni ile ahadi ya kuachia track yao mpya iitwayo“All Di Girls” ambayo amefanya na mkali kutoka Nigeria, Davido. Track hii aliifanya mwishoni mwa mwaka jana, 2013 kwa ushirikiano wa Leone Island Music Empire na HK Music CEO.



Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Jose Chameleone aliomshirikisha msanii kutoka Nigeria anayefahamika kwa jina la Davido USIKILIZE HAPA CHINI..


Previous Post Next Post