VIDEO: BABAY MADAHA - GAL BLADDER

Tazama hapa Brand new music video ya mwana dada Baby Madaha iitwayo Gal Bladder, ikiwa ni soundtrack ya upcoming movie iitwayo Gal Bladder pia, ambayo msanii huyu mahiri atakuwa kama main character katika movie hiyo ambayo ipo katika maandalizi.


Previous Post Next Post